WAZIRI MKUU MGENI RASMI MKUTANO WA RASILIMALI ZA MAJI FEBRUARI 11,2024

0

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maji Jumaa Aweso na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri juu ya ofisini kwake bungeni jijini Dodoma, Februari 09, 2024.

Waziri Aweso amefika ofisi ya Waziri Mkuu kutoa taarifa juu ya Maandalizi ya Jukwaa la Taifa la Wadau wa Sekta Mtambuka la Usimamizi na Uendelezaji wa Rasilimali za Maji.

Mkutano huu utafanyika tar.11 February 2024 Ukumbi wa Maktaba Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam asubuhi ambapo Waziri Mkuu anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika ufunguzi kwa Mkutano wa Jukwaa hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *