YANGA SC YAINGIA MKATABA NA HOSPITALI YA AGA KHAN

0

Leo Februari 6, 2024, Uongozi wa Young Africans SC na Uongozi wa Hospital ya Aga Khan umeingia mkataba wa miaka miwili wa mahusiano ya kutoa huduma za afya kwa bei nafuu kwa Wanachama wa Klabu ya Young Africans SC katika matawi ya Aga Khan kwenye maeneo mbalimbali nchini Tanzania.

Makubaliano haya yatahusisha vile vile matibabu kwa Wachezaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *