MAKAMU WA RAIS AAPISHWA KUWA RAIS MPYA NAMIBIA

0

Makamu wa Rais wa Namibia, Nangolo Mbumba ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Namibia kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo Hage Geingob kilichotokea mapema leo asubuhi Februari 04,2023.

Mbumba ameapishwa kuwa Rais wa Namibia na Jaji Mkuu kwa mujibu wa Katiba ya Nchi ya Namibia na atakuwa Rais hadi pale Uchaguzi Mkuu utakapofanyika baadaye mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *