SOUTH AFRICA WAMETOA DARASA KWA WACHEZAJI NA TIMU ZA AFRIKA KWENYE AFCON

0

Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦ ilikuwa na wachezaji 8️⃣ walioanza katika kikosi cha kwanza cha timu ya Taifa ya South Africa πŸ‡ΏπŸ‡¦ maarufu kama Bafana Bafana kilichowabonda Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ mabao 2-0 katika mchezo wa hatua ya 16 bora ya AFCON mwaka huu.

Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ hawakuwa na mchezaji yeyote anayecheza Ligi ya ndani ya Afrika katika kikosi chao cha kwanza.

Kati ya wachezaji 11 wa kikosi cha kwanza cha Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ hapo jana, wachezaji 9️⃣ wanacheza katika Ligi tano bora duniani (EPL, La Liga, Bundesliga, Ligue 1 na Serie A) na wachezaji wawili wanacheza Ligi ya Pesa ya Saudi Arabia πŸ‡ΈπŸ‡¦

Tafsiri yake ni nini? βœ… Ligi za Afrika zinakua na zina uwezo wa kutoa wachezaji Bora wenye ushindani mkubwa kwenye soka la ushindani.

Mamelodi ndio Mabingwa wa African Football League, maana yake ndio timu bora Barani Afrika kwasasa. Hii Mali ya kuitwa Rulani Mokwena ipewe maua yake, Mamelodi πŸ‡ΏπŸ‡¦ ya sasa inatisha zaidi ya Mnyama Mkali

Ukiwatazama Bafana Bafana wanavyocheza, Ni Mamelodi watupu. Bila shaka huko kwa Madiba, jana alikunja 4 safi na kutikisa kichwa akisema, We are Sundowns πŸ™Œ#AfricanFootball#AFCON2023

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *