DKT. TULIA AMJULIA HALI MAMA WA HALIMA MDEE

0

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 31 Januari, 2024 amemtembelea na kumjulia hali Bi. Theresia Ngowi ambaye ni Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mhe. Halima Mdee ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *