DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA UONGOZI WA AZANIA BANK

0

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Benki ya Azania akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo Bi. Esther Mang’enya katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 30 Januari, 2024.

Pamoja na mambo mengine, Dkt. Tulia ameipongeza Benki hiyo kwa namna ambavyo imekuwa ikishiriki vyema katika kusaidia jamii na kuongeza kasi ya maendeleo nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *