Msuva Afunguka AFCON Kumsaidia Kupata Timu ya Saudi Arabia ya Al Najmah FC

0

Staa wa soka wa Tanzania Simon Msuva amesema Kombe la Mataifa ya Afrika ( AFCON) imemuwezesha kupata Timu ya Saudi Arabia ya Al Najmah FC ya Ligi daraja la kwanza ambayo imevutiwa na kiwango alichoonesha AFCON ndio.

“Tumeshindwa kuingia hatua inayofuata lakini kuna mabadiliko na tutajipanga katika mashindano yajayo, kingine ni kwamba michuano hii imesaidia kupata timu…… sikutaka kukata tamaa na unajua nimetoka kwenye matatizo kwenye timu yangu (JS Kabalie) ya Algeria lakini nilijua tu siwezi kukosa timu” ——— @smsuva27

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *